Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mtoto wa Kibonde: Baba alikuwa mcheshi sana, mimi nilikuwa namuita bro (Video)

Friday 08-03-2019 09:00:02pm Bongo5


Mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde, Ephraim amefunguka kwa kusema kwamba baba yake aliwa nyumbani alikuwa ni mcheshi kuliko hata nje. Mtoto huyo alisema kwamba hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar. Mwili wa Kibonde umewasili jijini Dar usiku wa jana ukitokea mkoani Mwanza …The post Mtoto wa Kibonde: Baba alikuwa mcheshi sana, mimi nilikuwa namuita bro (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E