Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mwalimu ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kesi ya mauaji ya mwanafunzi Bukoba

Wednesday 06-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, imemuhukumu mwalimu Respicius Patrick Mtazangira adhabu ya kunyongwa hadi kufa huku ikimwachia huru mwalimu Herieth Gerald katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi Sperius Eradius. Tukio hilo lilitokea Agosti 27 mwaka jana katika Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba. Inadaiwa mwalimu huyo alitenda kosa la kumuadhibu kwa kipigo mwanafunzi Sperius …The post Mwalimu ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kesi ya mauaji ya mwanafunzi Bukoba appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E