Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mwalimu Chuo Kikuu cha Dodoma akamatwa ‘akivinjari’ na mwanafunzi chumbani

Friday 05-10-2018 09:00:02am Swahili Times


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kumkamata Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni hapo ili amsaidie katika mitihani ya marudio (supplementary) aliyofanya hivi karibuni. Mhadhiri huyo, Jacob Paul Nyangusi alikamatwa baada yaa TAKUKURU kumuwekea mtego ambapo alikamatwa saa tatu usiku katika eneo la nyumba mia tatu Kata ya Nzuguni jijini Dodoma akiwa chumbani na mwanafunzi huyo. Awali TAKUKURU ilipokea taarifa za mhadhiri huyo kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake ambaye jina . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E