Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mwanamke mmoja ahukumiwa miaka miwili jela kwa kosa la kumkumbatia msanii wa kiume jukwaani (+Video)

Tuesday 17-07-2018 09:00:02pm Bongo5


Mwanamke mmoja nchini Saudi Arabia amejikuta akikamatwa na maafisa usalama baada ya kupanda jukwaani na kwenda kumkumbatia mwanamuziki wa kiume anayejulikana kwa jina la Majid al-Mohandis.   Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari nchini Saudi Arabia vimeripoti kuwa mwanadada huyo alipanda jukwaani na kumkumbatia Majid al-Mohandis Ijumaa usiku wakati msanii huyo akitumbuiza katika mji wa Ta’if uliyopo …The post Mwanamke mmoja ahukumiwa miaka miwili jela kwa kosa la kumkumbatia msanii wa kiume jukwaani (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E