Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

MWANZA: Mwalimu atupwa jela mwaka mmoja kisa rushwa ya ngono kwa mzazi wa mwanafunzi wake

Thursday 16-05-2019 09:00:02pm Bongo5


Mahakama Wilayani Ilemela jijini Mwanza, imemhukumu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Jabal Hirah, Mwatanda Omari (37) kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Jumatano Mei 15, 2019 na mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga imedai kuwa hukumu hiyo imetolewa leo na …The post MWANZA: Mwalimu atupwa jela mwaka mmoja kisa rushwa ya ngono kwa mzazi wa mwanafunzi wake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E