🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-06-2019 09:00:03pm Bongo5
Mcheza kiini macho nchini India aliyejaribu kuiga muujiza maarufu kwa kuruka mtoni akiwa amefungwa mikono na miguu, na kutumbukizwa kichwa chini maguu juu, anahofiwa amefariki.nbChanchal Lahiri alijaribu kuiga kiini macho cha Harry Houdini – mcheza kiinimacho maarufu duniani – na alitarajiwa kujitatua na kutoroka, lakini hakuzuka kutoka kwenye mto huo uliopo katika jimbo la Bengal …The post Mwendesha mazingaumbwe apotea mtoni wakati akijaribu kufanya miujiza hii nchini India appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E