🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 05-06-2019 09:00:06am Bongo5
Watu tisa wameuawa kwa kupigwa risasi leo baada ya jeshi la Sudan kujaribu kuwatawanya waandamanaji waliopiga kambi nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum. Vikosi vya usalama vilivyokuwa kwenye magari yaliyobeba bunduki vimetumwa kote katika mji mkuu, wakati waandamanaji wakiweka vizuizi na kuzifunga barabara za mji huo. Kwa mujibu wa shirioka la habari la …The post Mzozo wa Sudan: Jeshi lashambulia waandamanaji kwa risasi, baadhi wafariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E