🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 07-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Kufuatia sakata la kuwarubuni wasichana wadogo kingono, nguli wa R&B Marekani na Duniani kote Robert Sylvester Kelly alimaarufu R Kelly. Mkali huyo wa R&B ameendelea kupokea lawama kutoka kwa mastaa mbalimbali hasa kutoka hapo hapo Marekani na kuanza kumlaumu kwa kile kilichosemekana nguli huyo aliwahi kuwarubuni kingono wasichana wadogo miaka ya 2000’s, Ingawa bado haijachukuliwa hatua yoyote kisheria. …The post Ne-Yo, Smith wamtupia lawama R. Kelly, sakata la kuwanyanyasa mabinti kingono appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E