🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 03-06-2019 09:00:03am Bongo5
Nyota wa Brazil na PSG Neymar ametumia akaunti yake ya Instagram kukanusha tuhuma za kumbaka binti mmoja Jijini Paris mwezi uliopita, Neymar anatuhumiwa kumbaka Mwanamke ambae walifahamiana kupitia Instagram na kukutana kwenye Hoteli ya kifahari. Amejaribu kuonesha ukweli wake kwa kuweka bandiko kwenye mtandao wa Kijamii linaloonesha mazungumzo yake na Mwanamke huyo‬. “I’m being accused …The post Neymar akanusha taarifa kuwa alimbaka binti mdogo Ufaransa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E