🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 02-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Timu ya Taifa ya Brazil imefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuitandika Mexico goli 2-0 . Magoli ya Brazil yamefungwa na Neymar Jr kunako dakika ya 51 na kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino dakika ya 88. Brazil itakutana na mshindi wa usiku kati ya Ubelgiji na Japan kwenye .The post Neymar, Firmino waipeleka Brazil robo fainali ya Kombe la Dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E