🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 26-05-2019 09:00:03pm Bongo5
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo amedai kuwa yeye ndiye aliyewafanya watu wengi kwenye wilaya yake wampende msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize. Kwani amekuwa akitumia nyimbo zake kwenye matukio mbalimbali ya kijamii. Harmonize na DC Jokate Jokate ameeleza hayo jana Mei 25, 2019 kwenye Futari iliyoandaliwa na Harmonize Wilayani Kisarawe, ambayo ililenga …The post Ningemshauri Harmonize aoe, Mimi ndio nimefanya watu wote Kisarawe wampende – DC Jokate appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E