🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 09-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa filamu Nisha Bebee amefunguka kumzungumzia mpenzi wake mpya wa kizungu ambaye amempost leo na kueleza jinsi anavyompenda. Mfanyabiashara huyo amedai kwasasa moyo wake umetulia baada ya kumpata mtu sahihi ambaye anapendana naye na kuachana na vibe-10 ambavyo amedai vilikuwa kwake kwaajili ya pesa.The post Nisha afunguka kuhusu mpenzi wake mzungu pamoja na utamu wake aliouzungumzia (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E