🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 22-04-2019 09:00:03am Bongo5
Meneja wa klabu ya Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo baada ya timu yake kukubali kichapo kizito cha goli 4-0 toka kwa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya England. United wamepoteza jumla ya michezo sita ya hivi karibuni ikiwa ni mechi nane katika michuano yote waliyokuwa wakishiriki ikiwemo ligi …The post Ole Gunnar awaomba radhi mashabiki wa United, ni baada ya kipigo kutoka kwa Everton appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E