Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Papa Francis asema Ngono ni zawadi kutoka kwa Mungu pia azipiga vita picha za ponografia

Wednesday 19-09-2018 09:00:01am Bongo5


Ngono sio taboo, bali ni “zawadi kutoka kwa Mungu” ambayo imeundwa kuonyesha upendo na kuendeleza uhai, Papa Francis amesema, huku akikosoa picha za ponografia kama sehemu ya sekta ya uwongo. Papa Francis aliwaambia kikundi cha vijana kutoka katika Diocese ya Grenoble-Vienne huko Ufaransa siku Jumatatu. Maoni hayo ya Papa yalikuja wakati anamjibu kijana mwenye umri wa …The post Papa Francis asema Ngono ni zawadi kutoka kwa Mungu pia azipiga vita picha za ponografia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E