🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 03-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Aliyekuwa beki wa Yanga SC, Hassan Kessy hii leo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Nkana Red Devils inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Mapema juzi Kessy alisaini kandarasi ya miaka miwili kama mchezaji huru baada ya kushindwa kufikia makubaliano na mabingwa wakihistoria klabu ya Yanga. Kessy aliondoka Yanga baada ya wakongwe hao wa ligi …The post Picha: Kessy atambulishwa rasmi Nkana Red Devils FC appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E