🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 22-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba yupo tayari kuongeza kandarasi ya muda mrefu ndani ya Manchester United itakayomuwezesha kupokea kitita cha pauni 290,000 kwa wiki. Mfaransa huyo aliyekuwa akilazimisha kutimkia Barcelona dirisha la usajili lililopita kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho sasa yupo tayari kusalia …The post Pogba kuongeza mkataba Man United, ni baada ya kutimuliwa kwa Jose Mourinho appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E