Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Polisi wa Texas waomba msamaha baada ya kumuongoza mtu mweusi kwa kumfunga kamba

Thursday 08-08-2019 09:00:04am Bongo5


Polisi wa Texas wameomba msamaha baada ya picha ya maafisa weupe wawili wakiwa wamepanda farasi wakiongoza mtu mweusi aliyeonekana amefungwa kwa kamba hatua iliyozusha ukosoaji mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Mkuu wa Polisi wa Galveston, Vernon Hale alisema Jumatatu mbinu hiyo ilikuwa inakubalika katika baadhi ya matukio, lakini kwamba “maafisa hawakufanya uamuzi mzuri katika tukio …The post Polisi wa Texas waomba msamaha baada ya kumuongoza mtu mweusi kwa kumfunga kamba appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E