Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Pusha T akatisha Show yake Canada baada ya fujo kutokea, zahusishwa na bifu lake na Drake (+Video)

Wednesday 21-11-2018 09:00:02pm Bongo5


Usiku wa kuamkia leo rapper kutoka Marekani Terrence LeVarr Thornton kwa jina maarufu Pusha T, ameamua kukatisha show yake baada ya kutoke fujo. Rapper huyo alikuwa akitumbuiza kwenye mji wa Toronto nchini Canada, ambapo ghafla jukwaa lilianza kushambuliwa kwa kurushiwa pombe na wengine kuvamia jukwaa wakitaka kumdhuru. Polisi wameripoti kuwa ilimlazimu Pusha aikatishe show yake. …The post Pusha T akatisha Show yake Canada baada ya fujo kutokea, zahusishwa na bifu lake na Drake (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E