Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais Magufuli azindua ‘mahakama inayotembea’, wananchi kesi zao kusikilizwa mtaani

Wednesday 06-02-2019 09:00:03pm Bongo5


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua gari la Mahakama inayotembea litakaloweza kuisaidia usikilizwaji wa mashauri katika mikoa ya Mwanza na Dar es Salaam. Uzinduzi wa gari hilo la kisasa lenye umeme ndani yake, umefanyika leo Februari 6, 2019 katika maadhimisho ya siku ya sheria. Gari hilo hadi kukamilika kwake limegharimu …The post Rais Magufuli azindua ‘mahakama inayotembea’, wananchi kesi zao kusikilizwa mtaani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E