Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais Museveni apiga marufuku makampuni ya kubashiri na kubeti nchini Uganda

Wednesday 23-01-2019 09:00:04pm Bongo5


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ametangaza rasmi kuyafutilia mbali makampuni ya michezo ya kubashiri na kubeti nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha nchini humo, David Bahati amesema Rais Museveni pia amekataza kutoa leseni za usajili kwa makampuni hayo. “Wizara imepokea maagizo kutoka kwa Rais akitaka makampuni yote ya kubet na kubashiri …The post Rais Museveni apiga marufuku makampuni ya kubashiri na kubeti nchini Uganda appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E