🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 14-06-2019 09:00:03pm Bongo5
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wa wizara muhimu ya mafuta ambayo inaingiza zaidi ya asilimia 90 ya mapato ya serikali ya Sudan Kusini. Kiir alichukua hatua hiyo Alhamis kumfuta kazi Ezekiel Lol Gatkuoth baada ya kuongoza wizara hiyo kwa miaka mitatu na nafasi yake kuchukuliwa na Awow Daniel Chuang. Aliyekuwa Waziri …The post Rais Salva Kiir amtumbua Waziri wa mafuta Sudan Kusini, amtaja atakayechukua nafasi yake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E