🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 21-03-2019 09:00:27pm Bongo5
Rapper Wakazi amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa na Bodi ya Pan Africanism, kushiriki kwenye album ya muziki ya Pan Africa itakayoshirikisha wasanii wengine wakubwa kama Selif Keita, Mafikizolo, na wengineo. Wakazi kupitia Bongo5, amesema kuwa alipigiwa simu kujulishwa taarifa hizo na tayari ameanza kurekodi baadhi ya nyimbo, Album hiyo itatoka siku ya …The post Rapa Wakazi afunguka baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye utengenezaji wa album ya Pan Africa (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E