Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rapper 21 Savage akamatwa nchini Marekani kwa tuhuma za kuishi kinyume cha sheria

Monday 04-02-2019 09:00:02am Bongo5


Rapper Shayaa Bin Abraham-Joseph maarufu kama 21Savage kwa sasa anashikiliwa na mamlaka ya uhamiaji ICE nchini Marekani, kwa madai kuwa sio raia wa nchi hiyo na anaishi kinyume na sheria. Kwa sababu ya Visa (Kibali) chake kuisha toka mwaka 2006, na inasemekana aliingia Marekani mwaka 2005 ambapo alikuwa na miaka 12 na kwa sasa rapper huyo anamiaka …The post Rapper 21 Savage akamatwa nchini Marekani kwa tuhuma za kuishi kinyume cha sheria appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E