Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rapper Octopizzo aingia kwenye tuhuma nzito za mauaji ya mwanafunzi nchini Kenya

Monday 21-01-2019 09:00:04pm Bongo5


Msanii wa Hip Hop nchini Kenya, Octopizzo Jana Jumapili 20, 2019 ametuhumiwa kwa mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Strathmore kilichopo jijini Nairobi. Octopizzo Familia ya mwanafunzi huyo, imesema kuwa kijana wao alijeruhiwa katika nyumba ya Octopizzo kabla ya kujirusha kwenye ghorofa siku ya Jumamosi iliyopita. Mwanafunzi huyo aitwaye, Kenneth Abom (19) inaelezwa kuwa …The post Rapper Octopizzo aingia kwenye tuhuma nzito za mauaji ya mwanafunzi nchini Kenya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E