Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rasmi Manchester City yamsajili, Riyad Mahrez 

Wednesday 11-07-2018 09:00:01am Bongo5


Mabingwa wa ligi kuu nchini Uingereza, Manchester City wamethibitisha kumsajili mchezaji, Riyad Mahrez kwa dau la pauni milioni 60 kutokea Leicester City. Mahrez ambaye amesajiliwa kwa dau lililoweka rekodi ya klabu hiyo marakadhaa amekuwa akitakiwa na City lakini dili likigonga mwamba. Miamba hiyo ya soka ya Uingereza imekamilisha kandarasi ya winga huyo wa Leicester ambaye .The post Rasmi Manchester City yamsajili, Riyad Mahrez  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E