Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rayvanny atoa wito kwa wasanii ‘kidogo tunachopata, tusaidie ndugu zetu wenye Magonjwa’

Wednesday 31-10-2018 09:00:02am Bongo5


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Rayvanny amewataka Watanzania wenye uwezo kwajitoe japo kidogo kuwasaidia wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali Hospitalini. Rayvanny amesema hayo, baada ya jana kutembelea katika Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali mama  aliyekuwa anasumbuliwa na jicho kutoka Mbeya, ambaye wiki iliyopita video zake zilisambaa mtandaoni zikimuonesha akiomba msaada wa matibabu. …The post Rayvanny atoa wito kwa wasanii ‘kidogo tunachopata, tusaidie ndugu zetu wenye Magonjwa’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E