🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 18-04-2019 09:00:04pm Bongo5
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuomba Rais Dkt. John Magufuli kuwapati JWTZ mradi wa ujenzi wa Nyumba za NSSF zilizopo kata ya Toangoma ambazo ujenzi wake umesuasua zaidi ya Miaka 15 jambo linaloisababishi serikali hasara. RC Makonda amesema anaamini kwa utendaji kazi wa vijana wa JWTZ utawezesha majengo hayo kukamilika …The post RC Makonda amuomba Rais Magufuli kuwapatia JWTZ mradi wa NSSF unaosusua kwa miaka 15 (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E