🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 07-03-2019 09:00:01am Bongo5
Kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde kilichotokea alfajiri ya Alhamisi hii mkoani Mwanza kimewashitua watu wengi kutokana na mtangazaji huyo kushiriki msiba wa aliyekuwa bosi wake, Ruge Mutahaba aliyezikwa Jumatatu hii huko Bukoba. Baada ya Clouds Fm kutangaza kifo chake mastaa, viongozi na wadau mbalimbali wameanza kutoa salamu zao za rambirambi kwa familia yake …The post RC Makonda, Gardner, AY na mastaa wengine wamlilia Kibonde appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E