🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 22-03-2019 09:00:11am Bongo5
Msanii wa muziki Rich Mavoko ambaye hivi karibuni aliwashtua mashabiki wake katika mitandao baada ya kujitabiria kifo, ameeleza sababu ya kufanya hivyo. Katika ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Mavoko aliandika maneno mafupi yaliyoambatana na picha ikimuonyesha amejiinamia: ‘Ni siku ya mwisho ya maisha yangu yaliyobaki’. Maneno yaliyoibua gumzo huku wengine wakimtakia apumzike …The post Rich Mavoko ahoji ‘wanaodhani labda nilikuwa nataka kufa, wapi niliaga kuwa nakufa?’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E