Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rich Mavoko awajibu wanaohoji mwili wake kukongoroka ‘unene ni ugonjwa, nashukuru nimekonda’

Friday 28-09-2018 09:00:03am Bongo5


Baada ya kuandamwa na maswali ya watu wengi mitandaoni wakihoji kuhusu  kuporomoka kwa afya yake, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameweka wazi juu ya afya yake kwa kusema kuwa ameteseka sana alivyokuwa kibonge kipindi cha nyuma. Rich Mavoko amesema kuwa suala la kukonda amelipokea kwa mikono miwili kwani kuna wakati alikuwa mnene …The post Rich Mavoko awajibu wanaohoji mwili wake kukongoroka ‘unene ni ugonjwa, nashukuru nimekonda’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E