🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 06-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania imemtaka nyota wake, Cristiano Ronaldo kuwaeleza mashabiki kuwa halazimishwi kuondoka ndani ya timu hiyo na kutua Juventus. Rais wa Real, Florentino Perez na Mkurugenzi wake Jose Angel Sanchez wanahofia mashabiki kutoa lawama zao za kumruhusu Ronaldo kutua Juve kwa dau la euri milioni 100 ikiwa sawa na pauni .The post Ronaldo apewa mtihani mwepesi na Real Madrid kama kweli anataka kutua Juventus appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E