Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rwanda yaadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

Sunday 07-04-2019 09:00:04am Bongo5


Nchi ya Rwanda leo hii inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya Kimbari ambapo watu wapatao 800,000 hasa wa kabila la Watutsi waliuawa. Kwa mujibu wa shirika la habari la Deutsche Welle (DW), Wajumbe kadhaa wa Kimataifa waliwasili jana siku ya Jumamosi katika mji mkuu, Kigali kwa ajili ya kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji hayo …The post Rwanda yaadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E