Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Sadio Mane akabidhiwa namba ya Coutinho, Salah aonyesha uwezo kwenye kikapu

Friday 20-07-2018 09:00:02pm Bongo5


Nyota wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah na Sadio Mane wamerejea hii leo siku ya Ijumaa huko Melwood tayari kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza. Mane raia wa Senegal amekabidhiwa jezi na 10 ambayo alikuwa akiiva Mbrazil, Philippe Coutinho aliyetimkia FC Barcelona na kuachana namba 19 aliyokuwa akiitumia toka alipotoka Southampton mwaka …The post Sadio Mane akabidhiwa namba ya Coutinho, Salah aonyesha uwezo kwenye kikapu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E