Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Saudi Arabia imewakamata wanawake 17 raia wa Ufilipino kwa kufanya sherehe za Halloween Octoba 31

Wednesday 31-10-2018 09:00:02pm Bongo5


Polisi nchini Saudia Arabia imekikamata kikundi cha Wafilipino kilichokuwa kimewekwa kizuizini na maafisa wa upelelezi ambao walihamia nchini humo katika viwanja vya Riyad baada ya majirani kuripoti na kulalamika juu ya kelele ambazo walikuwa wakipiga wakisherehekea sikukuu ya Halloween. Imeelezwa wanawake kumi na saba, wote wa Filipino, wanakamatwa baada ya kuhudhuria na kusherehekea sherehe za Halloween …The post Saudi Arabia imewakamata wanawake 17 raia wa Ufilipino kwa kufanya sherehe za Halloween Octoba 31 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E