🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 17-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Nyota wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos ameamua kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu, Pilar Rubio. Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Hispania ameamua kumuoa mwanadada, Pilar Rubio ambaye ni mtangazaji wa Tv nchini Hispania baada ya kudumu naye kwa miaka sita. Ramos ameposti picha kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram zinazoonyesha tukio …The post Sergio Ramos achukua jiko baada ya miaka sita ya uchumba (+Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E