Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Serikali ya Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa kwa Zimbabwe, Malawi na Msumbiji (+ Video)

Tuesday 19-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa tani 24 za dawa, na tani 214 za chakula kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe, kufuatia maafa ya kimbunga na mafuriko yaliyozikumba nchi hizo. Wakiongea baada ya msaada huo Waziri wa mambo ya Nje na Waziri wa Afya wamesema:- Chanzo Azam Tv. By Ally Juma.The post Serikali ya Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa kwa Zimbabwe, Malawi na Msumbiji (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E