Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Shabiki aswekwa rumande wiki 14, ni baada ya kumshambulia mchezaji uwanjani

Monday 11-03-2019 09:00:02pm Bongo5


Shabiki aliyemshambulia kiungo wa klabu ya Aston Villa, Jack Grealish ameswekwa rumande wiki 14 ambayo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili. Hukumu hiyo imetolewa hii leo siku ya Jumatatu baada ya shabiki huyo aliyetambulika kwa jina la Paul Mitchell mwenye umri wa miaka 27 kumshambulia kwa nyuma mchezaji wa Aston Villa, Jack Grealish …The post Shabiki aswekwa rumande wiki 14, ni baada ya kumshambulia mchezaji uwanjani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E