Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Sheria mpya ya mtandao yapitishwa nchini Misri

Monday 20-08-2018 09:00:02am Swahili Times


Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi (pichani) ametia saini sheria mpya nchini humo inayoipa serikali mamlaka ya kuziondoa hewani tovuti ambazo ni tishio kwa usalama wa nchi. Gazeti la serikali Al-Ahram limesema kuwa, sheria hiyo imebeba pia adhabu kali kwa wadukuzi wa mifumo ya serikali. Serikali ya el-Sisi ambaye aliingia madarakani mwaka 2014, imekosolewa vikali kwa kuendelea kukandamiza uhuru wa habari na maoni nchini humo. Shirika la kufuatilia uhuru wa kutoa maoni na kujieleza la Freedom of Thought and Expression lenye ofisi zake jijini Cairo limesema kuwa, takribani tovuti 500 zimezuiliwa kupatikana nchini humo (blocked) kwa amri ya serikali tangu . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E