Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limempata aliyeamuru kuuawa mwandishi Khashoggi mjini Istanbul

Saturday 17-11-2018 09:00:02am Bongo5


Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linaamini kwamba Mwanamfalme Mohammed Bin Salman wa Saudi Arabia ndiye aliyeamrisha kuuawa kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi kwenye ubalozi mdogo wa nchi yake Istanbul. Kwa mujibu wa DW, Vyanzo kutoka ndani ya shirika hilo vililiambia shirika la habari la Ujerumani, dpa, kwamba CIA ilishaviarifu vyombo vyengine kwenye serikali …The post Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limempata aliyeamuru kuuawa mwandishi Khashoggi mjini Istanbul appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E