Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Sikiliza wimbo mpya wa Dudu Baya Ft. Rayvanny- Konki

Friday 23-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Msemo wa Konki Masta umetawala sana mitandao ya kijamii na hata baadhi ya vyombo vingine vya habari. Lakini wakati msemo huo unaanza, hakuna aliyedhani ungeshika kasi kiasi hicho. Msemo huo ulinazishwa na mwanamuziki Dudu Baya akijiita yeye ni Konki Masta, Oil Chafu, Mamba. Baada ya kushika kasi, mwanamuziki huyo ameona asiuache msemo huo upotee bila kuwa na faida kwake, akaamua kuutengenezea wimbo. Usikilize hapa chini wimbo mpya wa Dudu Baya aliomshirikisha Rayvanny unaokwenda kwa jina la Konki. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E