🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 31-12-2018 09:00:03pm Bongo5
Klabu ya soka ya Simba inatarajia kusafiri Jumatano ya wiki hii ya tarehe 2/01/2019 kuelekea Visiwani Zanzibar kwaajili ya michuano ya kombe la Mapinduzi itakayoanza hivi karibu. Kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari Simba imesema kuwa itapeleka kikosi kamili kwenye mashindano hayo yanayofanyika kwaajili ya sikukuu ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.The post Simba yaamua kupeleka kikosi kamili Mapinduzi Cup ‘Tunathamini sana Mapinduzi matukufu’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E