Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Simba yachomoza makucha yake KAGAME Cup, yaisambaratisha Dakadaha

Saturday 30-06-2018 09:00:02pm Bongo5


Klabu ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC wameanza vema michuano ya KAGAME baada ya kuisambaratisha timu ya Dakadaha kutoka Somalia kwajumla ya mabao 4 –  0. Mchezo huo ulipigwa dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam, Simba iliweza kupatamabao kupitia kwa usajili wake mpya Adam Salamba aliyefunga mara mbili, Marcel Kaheza na Rashid Juma wakihitimisha karamu .The post Simba yachomoza makucha yake KAGAME Cup, yaisambaratisha Dakadaha appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E