Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Stamina adai ROSTAM kwa kipindi hiki watayumba kidogo, aeleza sababu kwa uchungu (+video)

Tuesday 12-03-2019 09:00:03am Bongo5


Moja ya rappers wanaounda kundi la ROSTAM, Stamina amesema kuwa kundi hilo kwa sasa litapitia changamoto kwa kipindi kifupi, hii ni baada ya kifo cha Ruge ambaye alikuwa anawapa ushauri na sapoti kubwa kwenye kundi hilo. Stamina akiongea na Bongo5, amesema kuwa Ruge alikuwa ni mtu mwenye umuhimu sana kwenye kundi la ROSTAM na alikuwa …The post Stamina adai ROSTAM kwa kipindi hiki watayumba kidogo, aeleza sababu kwa uchungu (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E