🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 03-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Timu ya taifa ya Sweden imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la dunia bila mshambuliaji wao hatari Zlatan Ibrahimovic baada ya kuifunga  Switzerland bao 1 – 0. Sweden ambayo mara kadhaa imekuwa na nyota wake hatari anayekipiga klabu ya LA Galaxy nchini Marekani, Zlatan Ibrahimovic safari hii imeshindwa kumjumuisha akutokana na umri wakekumtupa mkono .The post Sweden yatinga robo fainali bila mkali wao Zlatan Ibrahimovic appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E