đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 23-12-2018 09:00:02am Swahili Times
Jeshi la Polisi limesema kuwa linafanya uchunguzi na litawachukulia hatua wale wote watakaobainika kusambaza video za Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, maarufu Trafiki akipokea rushwa kutoka kwa dereva. Mkuu wa Jeshi Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, ametoa onyo kali kwa raia wanaosambaza video hiyo kwani ni tukio la zamani na kusema lengo la wahusika ni kudhalilisha jeshi hilo. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Ahmed Msangi, ilisema tukio hilo lilitokea Novemba, 2016 eneo la Kabuku mkoani Tanga. IGP Sirro alisema askari . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E