Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

TANZIA: Mfanyabiashara Dkt. Reginald Mengi afariki Dunia

Thursday 02-05-2019 09:00:03am Bongo5


Mfanyabiashara maarufu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mteendaji wa Makampuni ya IPP Media, Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Mei 2, 2019 akiwa Dubai. Bongo5 Media inatoa pole kwa familia ya marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pepa peponi. Endelea kukaa nasi kwa taarifa zaidi.  The post TANZIA: Mfanyabiashara Dkt. Reginald Mengi afariki Dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E