🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 07-04-2019 09:00:03pm Bongo5
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva kutoka THT, Jessie, amefariki dunia. Jessie ni dada wa msanii, Jolie. Mmoja kati ya wasanii kutoka THT, Mwasiti Almas ambaye amesema ni kweli kuwa msanii huyo amefariki dunia. “THT imepoteza jembe leo Ooh Jessie mdogo wangu,umeenda na wewe…ALLAH akupumzishe salama ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜,” aliandika Mwasiti kupitia Instagram yake. Hata hivyo Mwasiti hakuelezea …The post Tanzia: Msanii Jessie ambaye alikuwa zao la THT afariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E