🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 07-03-2019 09:00:01am Bongo5
Mtangazaji wa Clouds Fm, Ephraem Kibonde amefariki dunia leo alfajiri mkoani Mwanza. Taarifa za awali zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella zinadai kuwa Kibonde alipandwa na presha kwenye msiba wa Ruge Mutahaba mkoani Bukoba, jambo lilimfanya asafirishwe kwenda Mwanza kwa matibabu. Katika kuthibitisha hilo Clouds Fm wametoa taarifa rasmi iliyosomeka “Tukiwa bado …The post TANZIA: Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraem Kibonde amefariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E