🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 13-02-2019 09:00:02am Bongo5
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Godzilla amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano majira ya saa 10 alfajiri nyumbani kwao salasala jijini Dar Es Salaam. Godzilla Dada wa marehemu, Joyce Mbunda akiongea na Bongo5 amethibitisha taarifa hizo ambapo amesema Godzilla alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Mwili wa Godzilla kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi …The post TANZIA: Rapa Godzilla amefariki Dunia, dada yake azungumza appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E