Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Tetesi za soka barani Ulaya Jumatano hii, Perisic, Sarri, Hazard, Buffon, Nani, Jovic, Bale

Wednesday 13-02-2019 09:00:02am Bongo5


Real Madrid wanaamini wakati mgumu anaopitia kocha wa Chelsea Maurizio Sarri utawarahisishia kumsajili kiungo Mbelgiji Eden Hazard, 28, mwishoni mwa msimu. (Mirror) Chelsea wanata kocha wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane kuchukua nafasi ya Sarri ambaye amekuwa akisuasua. (Sun) Real Madrid wataminyana Barcelona kumsajili streka wa Benfica Luka Jovic, 21, kwa kutangaza dau la …The post Tetesi za soka barani Ulaya Jumatano hii, Perisic, Sarri, Hazard, Buffon, Nani, Jovic, Bale appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E